Advertisement

Monday, 19 January 2015

HII AIBU HII...MADENT WA CHUO WAKIFUNDISHANA JINSI YA KUMMILIKI MWANAUME KITANDANI....!NI SHIDAAA!




Katika Hali isiotegemeka wala kufikirika Wanafunzi wa chuo kimoja
Maarufu Nchini wavujisha video inayoonesha jinsi ya kummilliki
Mwanaume kitandani Hii ni Hatari sana kwani wazazi wengi Matarajio
yao kwa wanafunzi hao ni kusoma na si kufanya ufuska huo

KUNA WADADA WAMEBARIKI MAKALIO, EMBU ONA HII VIDEO FUPI IRENE ANACHOFANYA


Friday, 9 January 2015

DALILI 10 ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA. TAZAMA HAPA .

ANAVYOTAZAMA
Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. 

Hii ina maana kwamba mwanaume anapotumia muda wake mwingi kumtazama msichana na kugeuka taratibu kuangalia vitu vingine kama mtu asiyependa kuacha kumwangalia, ujue anampenda.

MIPANGO 
Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali katika kulifanikisha hilo. Ukiona mwanaume anakuficha mambo yake, tambua kuwa huyo ana walakini kwenye penzi la dhati na la muda mrefu.

ATAONESHA HUZUNI
Katika maisha ya mapenzi kuna wakati wa kuhuzunika. Mwanaume mwenye upendo wa dhati atashirikiana nawe wakati wa huzuni na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa unapata furaha. 

ATAKUAMINI
Dalili nyingine ya kupendwa na mwanaume ni kuaminiwa kwenye maisha kwa ujumla. Yaani mwanaume anayekupenda hatakuficha kitu, mfano pesa zake, atakupa uhuru kwenye simu yake na kukuamini katika usimamizi wa miradi yake.

ATAKUPA NAFASI
Ninapozungumzia nafasi nina maana atakukaribisha kwake bila hofu na kukupa nafasi ya kuingia na kutoka bila mipaka, atakupa nafasi ya kuweka vitu vyako kwenye kabati na kuruhusu nguo, picha na vitu vyako kuonekana wakati wote chumbani kwake.

UTAKUWA MWANAFAMILIA
Mwanaume aliyefikia chaguo la mwisho kwa mwanamke humshirikisha mpenzi wake kwenye masuala yake ya kifamilia, mfano atamwalika kwenye vikao vya harusi, kipaimara, atatoa nafasi ya kuambatana naye kuona wagonjwa, kusalimia ndugu na atakuwa huru kukutambulisha kwao.

ATAZUNGUMZA NAWE KUHUSU WATOTO
Kwa kuwa wanaume wengi hufikiria kuwa na familia, mwanaume anayekupenda atazungumza nawe mipango ya kupata watoto kwa kuwa atakuwa amekuchagua wewe kuwa mama wa wanaye na atapenda mazungumzo hayo.

ATAKUSAIDIA
Kwa kuwa kukwama ni sehemu ya maisha yetu, mwanaume anayekupenda atakuwa tayari kukusaidia unapokwama. Kila mara atahakikisha kuwa unakuwa na mafanikio na yeye atakuwa tayari kukupunguzia usumbufu wa maisha, kwa kukufuata kazini, kukusaidia baadhi ya mambo na hata ya nyumbani.

ATAJITOLEA
Ninaposema kujitolea ninamaanisha atakuwa tayari kufanya mambo yako na kuyaweka yake nyuma. Kwa mfano akiwa anapenda mpira na siku hiyo kuna mechi, lakini muda huo ukamwambia akufuate kwa mjomba wako atakuwa tayari kuacha furaha yake na kukujali wewe. Huyu ni mwanaume anayekupenda kwa dhati.

ATAAMBATANA NAWE
Wapenzi wengi wasiokuwa na mapenzi ya dhati huona aibu kuambatana na wapenzi wao kwenye mikusanyiko ya watu, lakini mwanaume anayekupenda atafurahia kutoka moyoni kuongozana nawe kwenye halaiki ya watu na kufurahia uwepo wako bila kuona aibu.

Mada hii inaishia hapa, hebu jiulize mwanadada, huyo uliyenaye anakufanyia haya, kama sivyo kwa kiwango kikubwa utakuwa na kazi ya kuhakiki penzi lako na pengine kujenga misingi mipya ya uhusiano wenu kabla haujavunjika.

KUNA WADADA WAMEBARIKI MAKALIO, EMBU ONA HII VIDEO FUPI IRENE ANACHOFANYA

Kuna Wadada Wamebariki Makalio, Embu Ona Hii Video Fupi Huyu Dada anayejiita Irene Anavyotingisha Wezele Lake Huku Akijiangalia Kwenye Kioo cha Meza ya Kujirembea..Shidaa Tupu:

DUH AMA KWELI MAPENZI KIKOHOZI, WAZIDIWA NA KUANZA KUFANYA YAO NDANI YA DALA DALA LIVE


Kale Ka Usemi kuwa Mapenzi ni Kikohozi Kamedhiirika Juzi Huko Kenya Baada ya Wapenzi Wawili Kuanza Kunyonyana Ndimi Ndani ya Matatu ama Dala Dala Bila Kuona Aibu Kuwa kuna Watu wanawaangalia , Abiria Walibaki na Mshangao tu na kubaki wakishuuhudia sinema ya bure huku wengine wakipiga picha na kuzituma kwenye mitandao ya kijamiii... 

PICHA CHAFU ZA MTANGAZAJI MAARUFU BONGO ZAWA GUMZO MTANDAONI TAZAMA HAPA.



BOFYA HAPA

Thursday, 8 January 2015

Angalia Madhara Yaliyompata Huyu Dada Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kurekebisha Shape

Picha ya kulia kabla ya majanga.. Mwanamitindo ambae alichukua nafasi ya pili ya pili katika Shindano La Miss BumBum huko Brazil, mwanadada huyo ameweka wazi madhara yaliyomkuta baada ya kufanyiwa upasuaji na kutengenezwa shepu yake ili aweze
kuwa na muonekano mzuri.

Andressa Urach mwenye miaka 27, alitumia muda wa mwezi mmoja katika chumba cha watu
mahututi na aliogopa kupoteza mguu wake baada ya sehemu alizofanyiw upasuaji na
kuwekea vitu kuanza kuozesha misuli na vitu hivyo vilivyojazwa vilitakiwa viondolewe katika
mwili wake, ili kuondoa sehemu hizo zilizokuwa zimedhurika na kutishia maisha yake.
Picha zinazoonekana zikionesha jinsi Urach alivyoathirika kutokana na upasuaji huo wa kutengeneza umbo lake kwa kuongeza mapaja na makalio, Brazil imeipita U.S. kwa kufanya masala haya ya urembo wa kufanyiwa upasuaji.

Miss Urach anasema ameshwahi kufanya mapenzi na Cristiano Ronaldo, na amsema
ameshashawahi kufanya upasuaji kama mara nane katika miaka minane iliyopita. Upasuaji huo unahusisha pua, uso kurekebishwa taya na kuongezwa matiti, lips na hata kupunguza mashavu ya uke.

Afande Sele: Daz Baba havuti unga, anakunywa pombe kupita kiasi

Afande Sele amedai kuwa Daz Baba havuti unga kama watu wengi wanavyodhani bali amekuwa akinywa pombe bila kuzingatia kula hali inayomfanya akonde.

Akiongea na Bongo5, Afande amesema huu ni wakati wa wasanii na wadau wa muziki nchini kuonyesha juhudi za kumuokoa katika hali hiyo ili kunusuru maisha yake.

“Tatizo sisi wabongo tunapenda kusema vitu vya unafiki hasa hasa sisi wasanii,” amesema Afande. “Tunashindwa kusema vitu vya ukweli mwisho wake tunaathirika zaidi. Mbona wasanii wengine wa nje wakifilisika wanasema wamefilisika ili waweze kuishi maisha ya kawaida?” amehoji Afande.

“Tatizo watu wanajikweza wakati hawana kitu. Kusema kweli hali halisi ya Daz Baba ni mtu ambaye kama kachanganikiwa hivi. Daz Baba havuti unga. Wasanii acheni kuongea huu ndio wakati wa kumsaidia. Daz Baba akinywa pombe hata bia mbili tu anabadilika kabisa na tatizo lake Daz akinywa pombe hawezi kula, kwahiyo mara nyingi anakesha anakunywa pombe, hachagui pombe. Kusema kweli Daz Baba ni mtu ambaye kachakaa.

Mimi naapa Daz havuti unga ila ni mlevi kupita kiasi. Hana muda wa kulala. Ukikutana naye sehemu unamwomba msamaha wewe kwa sababu bila hivyo atakusumbua na haelewi anachoongea, kama vile chizi tu. Wapo wadau ambao wanajua Daz katoka wapi. Mimi mwenyewe binafsi nimeshahangaika na Daz na kwa namna ya pekee lakini watu wengine hawafikirii kama hili jambo ni la serious.”

“Toka naanza kubadilika mimi najaribu kumweka sawa. Kwasababu kama hali ngumu hata sisi hali ngumu tunahangaika tu. Watu wengi wanasubiria mtu amekufa halafu waanze kutoa magari na michango. Kwanini kama mnaweza kufanya juhudi hizo msifanye sasa hivi? Kwenye mazishi watu wanajifanya kukodi magari kwenda kuzika, mtu kama Daz kipindi hiki ndio cha kumsaidia. Wapo marafiki wa Daz, wasanii wadau wanaweza kumsaidia sasa hivi.”